Sweet Fella Awaomba Watanzania na Rais Samia Kumuokoa Saidi Fella – Video

Mke wa Saidi Fella, Sweet Fella, amewaomba Watanzania wajitokeze kumsaidia mume wake ili aweze kurejeshwa India kwa ajili ya matibabu zaidi, akisema hali yake bado inahitaji uangalizi wa karibu. Akiendelea kuelezea hali ya mumewe, Sweet amesema kuwa kuugua kwa Saidi Fella kwake ni ibada, na kwamba yupo pamoja naye bega kwa bega hadi dakika za […] The post Sweet Fella Awaomba Watanzania na Rais Samia Kumuokoa Saidi Fella – Video appeared first on Global Publishers .