Umuhimu wa kutenganisha amana za wateja katika mfumo wa benki Kiislamu

Moja ya masuala muhimu ndani ya kanuni hizi ni ulazima wa kutenganisha fedha za wateja wa huduma za Kiislamu kutoka katika fedha za shughuli za benki ya kawaida.