MSEMAJI wa chama tawala cha Uganda, National Resistance Movement (NRM), amesema kuwa wapiga kura wa nchi hiyo wako tayari kumuunga mkono mgombea wa urais kutoka katika mazingira yoyote, mradi awe na sifa zinazokubalika za uongozi. The post ‘Wapiga kura Uganda wanazingatia sifa za mgombea’ first appeared on HabariLeo .