Nimesota Kings Music Records miaka minne hadi natambulishwa

MSANII wa kwanza wa kike chini ya lebo ya Kings Music Records, Mutimawangu, amesema amepitia safari ndefu na yenye changamoto kwa kukaa kwa miaka minne akisubiri kutambulishwa rasmi na lebo hiyo kabla ya hatimaye kupata nafasi aliyokuwa akiitamani. The post Nimesota Kings Music Records miaka minne hadi natambulishwa first appeared on HabariLeo .