Maabara utafiti afya za wanyama yazinduliwa Zanzibar, manufaa yake…

Kujengwa maabara ya kisasa ya utafiti wa afya ya wanyama, kutaongeza chachu ya uwekezaji katika sekta ya mifugo. Imeelezwa.