Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema atakutana na Rais wa Colombia, Gustavo Petro, katika Ikulu ya White House hivi karibuni, siku chache tu baada ya kutoa matamshi yaliyoashiria uwezekano wa operesheni ya kijeshi dhidi ya Colombia. Tangazo hilo linakuja kufuatia operesheni ya kushtukiza ya kijeshi ya Marekani iliyofanyika mwishoni mwa wiki mjini Caracas, Venezuela, na […] The post Baada ya Kumng’oa Maduro, Trump Afungua Mlango wa Mazungumzo na Colombia appeared first on Global Publishers .