Tume ya Jaji Chande yatua Mara, kukutana na waathirika, viongozi

Katika Mkoa wa Mara, amesema wajumbe wawili wanatarajiwa kukutana na walengwa kwa muda wa siku tatu kuanzia leo ili kuwasikiliza.