Serikali kuifufua hoteli ya kitalii Musoma, ajira kwa wananchi zamulikwa

Serikali inatarajia kuifufua hoteli ya kitalii ya Musoma ambayo imeacha kufanya kazi kwa zaidi ya miaka 25 sasa, baada ya kutelekezwa na mwekezaji na majengo yake kugeuka magofu.