WATANZANIA WAJITOKEZA KWENYE PARADE LA TAIFA STARS LEO HII Mashabiki na wadau wa Soka leo hii wamejitokeza kwa wingi barabarani kuipongeza Taifa Stars baada ya kufika hatua ya 16 bora ya kombe la AFCON. Barabara zote za mjini zilifurika mashabiki na wadau wa soka kuishuhudia timu yao ya Taifa ikiwa inapita katika maeneo hayo. Kuangalia …