Viongozi mbalimbali wa Serikali, wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Paramagamba Kabudi, walipokea kwa shangwe Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, pale walipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo Januari 8, 2025. Timu ya Taifa ya Tanzania imeandika historia kwa kufuzu […] The post Taifa Stars Waweka Historia, Wapokelewa na Viongozi wa Serikali Dar (Picha +Video) appeared first on Global Publishers .