Mkoa wa Manyara washiriki maonesho Zanzibar, Sendiga atoa Wito kwa wafanyabiashara

Mkuu wa Mkoa wa manyara Queen Sendiga ametoa wito kwa wafanyabiashara wa mkoa huo kutumia fursa za kibiashara zinazojitokeza ndani na nje ya mkoa huo. Sendiga ametoa wito huo wakati alipokuwa kwenye maonesho ya 12 ya kimataifa ya Biashara Zanzibar kwenye banda maalumu la mkoa wa Manyara ambapo washiriki mbalimbali kutoka katika halmashauri zote za …