Zanzibar Katika kuendeleza ushirikiano na wadau wa Sekta ya Elimu nchini, Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) kwa kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Watoto (UNICEF Tanzania) wamefungua rasmi milango ya utekelezaji wa miradi ya elimu visiwani Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali (WEMA), kwa lengo la kuboresha miundombinu ya elimu. Kupitia ushirikiano huo, […] The post TEA NA UNICEF WAFUNGUA MILANGO YA MIRADI YA ELIMU ZANZIBAR appeared first on Jambo TV Online .