Makonda, Katambi wakabidhiwa wizara, Simbachawene atenguliwa

Uapisho wa viongozi wote walioteuliwa utafanyika Januari 13, 2026 katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma