Samia ataka ulinzi baharini, awagusa wavuvi

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema bahari ni eneo muhimu kwa usalama wa nchi hivyo Taasisi ya Sayansi ya Bahari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSMIMS) itambue na kuwa waangalifu wa chochote wanachokiona baharini wanapokuwa wanafanya tafi ti na kujifunza. The post Samia ataka ulinzi baharini, awagusa wavuvi first appeared on HabariLeo .