WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema watu wote waliopora mali za wenzao ikiwemo ardhi warudishe wenyewe kabla hawajafikiwa na mkono wa serikali. Aidha, amewataka wananchi kutoa taarifa katika mamlaka zinazohusika pale wanapokutana na uonevu kwa kuwa serikali imedhamiria kutofanya ustaarabu kwa watu waonevu. The post Mwigulu: Waliopora mali za wananchi warudishe first appeared on HabariLeo .