Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi inaongeza maeneo maalumu ya malisho kwa ajili ya mifugo kutoka hekta milioni 3.4 zilizokuwapo hadi kufikia hekta milioni sita ifikapo mwaka 2030.