RAIS Samia Suluhu Hassan amesema bahari ni eneo muhimu kwa usalama wa nchi hivyo Taasisi ya Sayansi ya Bahari ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM-IMS) itambue na kuwa waangalifu wa chochote wanachokiona baharini wanapokuwa wanafanya tafiti na kujifunza. Pia, ameagiza taasisi hiyo kuanzisha mafunzo kwa vitendo ya muda mfupi kwa wananchi wanaozunguka taasisi … The post Samia ataka ulinzi baharini first appeared on HabariLeo .