‘Maamuzi sahihi hayaishii pale msimu wa sikukuu unapoishia’

Dar es Salaam: Ingawa msimu wa sikukuu umefikia tamati, umuhimu wa unywaji kistaharabu na usalama barabarani unaendelea kuwa mkubwa, hususani katika mwezi wa Januari ambao huja na changamoto zake. Watanzania wengi wanapokuwa wanarejea kazini baada ya safari za mikoani wakati wa sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, matumizi ya barabara hubaki kuwa makubwa. Kipindi hiki … The post ‘Maamuzi sahihi hayaishii pale msimu wa sikukuu unapoishia’ first appeared on HabariLeo .