Serikali kuwaunga mkono wadau nishati safi

DAR ES SALAAM: Serikali imesema itaendelea kuwaunga mkono wadau katika kufanikisha lengo la serikali kwa wananchi kutumia nishati safi ili kuachana na kutumia nishati chafu kwani ina madhara kiafya. Hayo ameyasema leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Nishati Safi ya Kupikia Kutoka Wizara ya Nishati, Nolasco Mlay wakati wa uzinduzi wa mradi wa … The post Serikali kuwaunga mkono wadau nishati safi first appeared on HabariLeo .