“HATUWEZI kuzungumzia mafanikio ya sekta ya utalii pasipo kutambua jitihada za makusudi zilizofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan alipoamua kutoka ofi sini na kwenda kutengeneza fi lamu za kimkakati za ‘Tanzania: The Royal Tour’ na ‘Amazing Tanzania’. The post Tanzania ya Samia na Tuzo za Ubora wa Utalii Duniani first appeared on HabariLeo .