Anayedaiwa kujipatia fedha za ‘kijiko’ kuendelea kusota rumande

Mfanyabiashara na raia wa India, Dharmendra Gaikwad (49) anayekabiliwa na mashtaka ya kujipatia sita yakiwemo ya kujipatia Sh457 milioni kwa njia ya udanganyifu, ataendelea kusota rumande hadi Januari 22, 2026 kutoka na upelelezi kesi hiyo kutokukamilika.