TAWA waagizwa mbinu mpya za mapato ili kutoa gawio

ARUSHA: WAZIRI wa Maliasilia na Utalii, Dk Ashatu Kijaji ameiagiza Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyama Pori Tanzania (TAWA) kuhakikisha inabuni vyanzo vipya vya mapato ili viakisi ukubwa wa jukumu la mamlaka hiyo ili ianze kutoa gawio kwa serikali. Dk Kijaji amesema hayo leo Januari 9, 2026 jijini Arusha wakati wa uzinduzi wa bodi … The post TAWA waagizwa mbinu mpya za mapato ili kutoa gawio first appeared on HabariLeo .