Klabu ya Yanga imeanza rasmi mchakato wa kuwarahisishia wawekezaji na wabia wa kimkakati kuwasilisha barua za kuonesha nia (EOI) kwa ajili ya ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa eneo la Jangwani/Twiga Street, jijini Dar es Salaam. Uwanja huo unaopangwa kujengwa utakuwa na uwezo wa watazamaji 25,000–35,000, ukiwa na hybrid pitch, maeneo ya VIP, mifumo ya […] The post Yanga Yatangaza wito wa EOI Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa Jijini Dar appeared first on Global Publishers .