Rais Samia: Amani ndio nguzo ya uwekezaji

ZANZIBAR; RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kukua kwa uwekezaji nchini kumewezekana kutokana na uwepo wa amani na utulivu wa kisiasa, na kuwataka wanaochochewa kuvunja amani kuacha mara moja. Aidha, amesisitiza wananchi kulinda amani ya nchi, kwani maendeleo na kupeN deza kwa nchi kunatokana na amani na usalama uliopo. Rais Samia alieleza hayo jana Zanzibar, alipokuwa … The post Rais Samia: Amani ndio nguzo ya uwekezaji first appeared on HabariLeo .