Kiongozi Mkuu wa Iran Amtabiria Trump Anguko, Amlinganisha na Farao

Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa onyo kali kwa viongozi wa kimataifa wanaotumia nguvu zao vibaya, akitabiri kuwa Rais wa Marekani Donald Trump atakumbwa na anguko kama la watawala dhalimu wa kihistoria. Kupitia machapisho yake mbalimbali katika mtandao wa X siku ya Ijumaa, Khamenei ametumia mifano ya kidini na kihistoria akisema: “Rais wa […] The post Kiongozi Mkuu wa Iran Amtabiria Trump Anguko, Amlinganisha na Farao appeared first on Global Publishers .