Enzo Maresca Atajwa Kumrithi Ruben Amorim Manchester United

Jina la Enzo Maresca, kocha raia wa Italia aliyemaliza hivi karibuni kazi yake na klabu ya Chelsea, limo kwenye orodha ya makocha wanaotajwa kuchukua nafasi ya Ruben Amorim. Uongozi wa Manchester United unaendelea kutathmini majina mbalimbali ya makocha, ambapo Maresca anaonekana kuwa miongoni mwa chaguo linalozingatiwa kwa umakini mkubwa. Moja ya sababu zinazompa nafasi nzuri […] The post Enzo Maresca Atajwa Kumrithi Ruben Amorim Manchester United appeared first on Global Publishers .