DAR ES SALAAM; Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), ACP Beng’i Issa, ametembelea vituo vitatu vya uwezeshaji wananchi kiuchumi jijini Dar es Salaam na kutoa maagizo mbalimbali yenye lengo la kuboresha utoaji wa huduma na kuongeza mchango wa vituo hivyo kukuza uchumi wa Taifa. ACP Issa alitembelea kituo cha Innovate … The post Atoa maagizo vituo uwezeshaji wananchi kiuchumi first appeared on HabariLeo .