DAR ES SALAAM: Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema mradi wa umeme unaozalishwa kwa nguvu ya jua uliopo Kishapu, mkoani Shinyanga upo mbioni kukamilika. Amesema jumla ya megawati 50 zinatarajiwa kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa ili kuimarisha upatikanaji wa umeme katika Mkoa wa Shinyanga na mikoa jirani. Salome ameyasema hayo Januari 9, 2026, wakati … The post Mradi wa umeme wa jua Shinyanga mbioni kukamilika first appeared on HabariLeo .