Bill Gates Amlipa Melinda Dola Bilioni 8 Miaka Mitano Baada ya Talaka

Bilionea na mwanzilishi mwenza wa Microsoft, Bill Gates, amemlipa aliyekuwa mke wake, Melinda Gates kiasi cha dola bilioni 8 za Kimarekani, sawa na takriban shilingi trilioni 23.12 za Kitanzania, miaka mitano baada ya ndoa yao kuvunjika kufuatia madai ya usaliti na uhusiano wake wa karibu na mfadhili aliyekuwa mtuhumiwa wa makosa ya kingono kwa watoto, […] The post Bill Gates Amlipa Melinda Dola Bilioni 8 Miaka Mitano Baada ya Talaka appeared first on Global Publishers .