Nchi tatu kujadili mustakabali uchumi wa buluu Zanzibar
Mkutano huu wa siku tatu utafanyika kuanzia Januari 26 hadi 28, 2026, na utakutanisha serikali, taasisi za kikanda, wadau, wataalamu wa bahari, na washirika wa maendeleo kutoka nchi za Mauritius, Kenya, Tanzania na Zanzibar.