Dk Shein: Heshima iliyotafutwa Mapinduzi ya Zanzibar imeonekana

Amesema kabla ya Mapinduzi, zilikuwapo baadhi ya barabara lakini hazikuwa na hadhi wala ubora, kwa kuwa wakoloni walizingatia zaidi maslahi yao binafsi bila kujali utoaji wa huduma bora kwa wananchi.