Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko makubwa ya kimkakati katika safu ya washauri wake, akiwateua aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, na aliyekuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwa Washauri wa Rais. Akizungumza leo, Januari 10, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya kuwapongeza wanamichezo […] The post Video: Rais Samia Awateua Mpango na Majaliwa Kuwa Washauri Wake appeared first on Global Publishers .