Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Wang Yi, katika Ikulu jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo ya ngazi ya juu, Waziri Wang Yi aliwasilisha salamu maalum kutoka kwa […] The post Rais Samia Akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Ikulu appeared first on Global Publishers .