Gugu: Umoja ni ufanisi katika majukumu

DODOMA: Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Gugu, amewataka wafanyakazi wa wizara hiyo kuendelea kudumisha mshikamano, upendo na ushirikiano kazini, akisisitiza kuwa umoja wao ndio msingi wa ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya Serikali. Gugu amesema wakati akifungua rasmi Kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha Wizara hiyo kilichofanyika katika Ukumbi … The post Gugu: Umoja ni ufanisi katika majukumu first appeared on HabariLeo .