PWANI: Serikali imeipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa juhudi zake za kuboresha uendeshaji wa bandari nchini, hatua inayoongeza ufanisi, uwajibikaji na ubora wa huduma huku ikichangia ukuaji wa uchumi wa taifa. Akizungumza mkoani Pwani baada ya kutembelea Bandari ya Nyamisati, Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema maboresho yaliyofanyika yameifanya sekta ya … The post TPA yapongezwa ukuaji wa bandari na uchumi first appeared on HabariLeo .