DAR ES SALAAM; Wasanii nguli wa nyimbo za Injili kutoka mataifa mbalimbali wanatarajiwa kuungana na waimbaji wa nyimbo hizo hapa nchini kutumbuiza katika Tamasha la Pasaka mwaka huu. Tamasha hilo huandaliwa na kuratibiwa na Kampuni ya Msama Promotions, ambapo kwa msimu huu litafanyika mikoa 20 likianzia Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama … The post Kumekucha Tamasha la Pasaka 2026 first appeared on HabariLeo .