Tanzania yataja mafanikio yake ya Nishati safi ya kupikia katika jukwaa la Kimataifa la Irena – Abu Dhabi

*Upatikanaji wa Nishati Safi ya Kupikia waongezeka zaidi ya mara tatu ndani ya kipindi cha miaka minne pekee* ABU DHABI, UAE Imeelezwa kuwa, Tanzania inaendelea kufanya jitihada mbalimbali ili kuhakikisha wananchi wanaendelea kupata nishati safi, salama na nafuu ya kupikia, kwa kuhakikisha fedha za kuwezesha miradi ya nishati safi ya kupikia zinapatikana kutoka Serikalini, Sekta …