Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka mamlaka zote zinazohusika na michezo, kuhakikisha wachezaji wa Kitanzania wanaandaliwa katika mazingira bora ili waliwakilishe vyema taifa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanaboreshewa posho zao. Rais Samia amesimulia jinsi alivyopokea taarifa za wachezaji wa Taifa Stars kugoma kwenda Morocco kutokea nchini Misri kwa sababu ya kudai posho zao. Ameyasema hayo […] The post Rais Samia Akemea Uzembe wa Posho kwa Wachezaji – Video appeared first on Global Publishers .