Manunuzi mahitaji ya shule yaboresha biashara Dar

DAR ES SALAAM;- ZIKIWA zimesalia siku mbili shule kufunguliwa na muhula mpya wa masomo kuanza, baadhi ya wazazi wameendelea kufanya manunuzi ya vifaa na mahitaji ya shule huku wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo wakisema mzunguko wa biashara ni mzuri. Uchunguzi wa HabariLEO umebaini kuwa bidhaa za shule zinazonunuliwa kwa wingi katika msimu huu ni madaftari, … The post Manunuzi mahitaji ya shule yaboresha biashara Dar first appeared on HabariLeo .