TRA yaeleza mikakati ya kudhibiti upotevu wa mapato

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amesema wataendelea kupambana na watu wote wanaojihusisha na vitendo vya ukwepaji wa kodi kwa kudhibiti mianya inayotumika kukwepa kodi.