Anapa kuzalisha mazao mapya ya utalii

Ikiwa zimepita siku chache tangu jarida la Kimataifa la CNN Travel kutaja Hifadhi ya Taifa ya Arusha (Anapa), miongoni mwa maeneo bora ya kusafiri mwaka 2026,Hifadhi hiyo imejipanga kuanzisha mazao mapya ya utalii.