Ujio teknolojia majiko ya umeme kuwagusa Watanzania hali ya chini

Wakati Serikali ikidhamiria Watanzania wanne kati ya watano watumie nishafi safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034 wadau sekta hiyo wameonesha nia kuunga mkono utekelezaji kupitia ujio wa majiko yenye teknolojia ya kisasa kwa Watanzania wa kipato cha chini.