Chama Kikuu cha Ushirika wilayani Kyela mkoani Mbeya (Kyecu) kimesema mabadiliko ya mara kwa mara ya bei za mazao ya biashara, likiwamo zao la cocoa, yataanza kudhibitiwa baada ya kukamilika kwa viwanda vya uchakataji vinavyojengwa wilayani humo.