Rufaa yamuokoa na hukumu ya kifo

Nani alimuua Farhan Maluli na mabaki ya mwili yaliyofukuliwa huko Sharifu Shamba jijini Dar es Salaam ni ya nani? Ndio swali linalohitaji majibu baada ya Mahakama ya Rufani kubatilisha hukumu ya kifo aliyopewa Hemed Ally.