Duka kubwa la kuuza vifaa vya umeme na elektroniki lililopo eneo Mtaa wa Bondeni jirani na Kituo Kikuu cha mabasi jijini hapa limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Jumapili na kusababisha hasara ambayo haijaelezwa mara moja.