Wazazi, walezi Arusha watakiwa kuhakikisha watoto wanaripoti shule
Zikiwa zimesalia siku chache Shule za Msingi na Sekondari kufunguliwa nchini, wazazi na walezi nchini wametakiwa kuhakikisha watoto wenye umri wa kwenda shule wanaripoti na kuanza masomo.