Wananchi Zanzibar watakiwa kupisha miradi ya maendeleo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Hamza Hassan Juma amesema kila mwananchi atakayepisha ujenzi wa miradi atalipwa fidia na Serikali ya Mapinduzi bila kudhulumiwa.