Watoa angalizo waliofeli kidato cha pili kuendelea kidato cha tatu

Siku moja baada ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kueleza wanafunzi waliofeli mitihani yao ya kidato cha pili badala ya kurudia darasa, watafanyiwa programu maalumu huku wakiendelea na kidato cha tatu, wadau wa elimu nchini wametoa angalizo.