Waziri Mkuu Ashiriki Ibada Ya Jumapili Katika Kanisa La Kkkt Usharika Wa Azania Front

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameshiriki ibada ya Jumapili leo tarehe 11 Januari 2026, katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Usharika wa Azania Front, jijini Dar es Salaam. Ibada hiyo iliongozwa na Msaidizi wa Askofu wa KKKT DMP, Chediel Lwiza, kwa […] The post Waziri Mkuu Ashiriki Ibada Ya Jumapili Katika Kanisa La Kkkt Usharika Wa Azania Front appeared first on Global Publishers .