Wakati leo ikiadhimishwa miaka 62 ya Mapinduzi ya Zanzibar, mabadiliko mengi ya kiuchumi na kijamii yanatajwa kufikiwa ikiwamo maendeleo na haiba ya visiwa hivyo.